Aunty: Kwa Moses Iyobo Nilipotea Njia, Nikifunguka Patachafuka
STAA wa Tasnia ya Bongo Movie, Aunty Ezekiel amefunguka ya moyoni kumuhusu baba wa mtoto wake ambaye ni mnenguaji wa Diamond Platnumz, Mose Iyobo akidai kuwa alipotea njia kuingia kwenye mahusiano na kijana huyo.
Ikumbuke…
