Kwa Majonzi, Kabendera Amlilia Mama Yake, Asimulia Jela Kulivyo – Video
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam imemuhukumu Mwandishi wa Habari za uchunguzi Erick Kabendera kulipa faini na fidia ya jumla ya Tsh. Milioni 273 baada ya kukiri makosa yaliyokuwa yakimkabili ya utakatishaji fedha na…
