Mido Hatari: Ikipigwa Simu Tu, Nasaini Yanga Sc
KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya soka ya Polisi Tanzania, Marcel Kaheza, amesema kwamba kila kitu kuhusu ishu yake ya kusaini Yanga kimekamilika na anachosubiri kwa sasa ni simu kutoka kwa viongozi wa klabu hiyo ambao wameahidi kumwita…
