Nyumba Yateketea kwa Moto Keko – (Pichaz + Video)
MOTO mkubwa umeibuka na kuteketeza nyumba za watu na vibanda vya biashara katika maeneo ya Keko jijini Dar es Saalam alfajiri ya leo Alhamisi, Oktoba 1, 2020.
Baadhi ya familia zimepoteza makazi yao kutokana na moto huo ambao…
