Rufaa ya Sabaya Kuunguruma Desemba 13
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Butamo Philip anatarajiwa kuanza kusikiliza rufaa ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili.
Akizungumza na waandishi wa habari, Wakili Edmund Ngemela…
