Lulu Kortini Tena Leo Kesi ya Kifo cha Kanumba – Video
MSANII wa Filamu nchini, Elizabeth Michael 'Lulu' leo Ijumaa, Oktoba 20, amefika katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuendelea kusikiliza kesi inayomkabili ya kusababisha kifo cha aliyekuwa msanii mwenzake, Steven Kanumba bila…
