Breaking News: Hatimaye Mbunge Peter Lijuakali Kuachiwa Huru
DAR ES SALAAM: Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali (CHADEMA) anatarajiwa kuachiwa huru baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kutengua hukumu ya kifungo cha miezi sita aliyohukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero mwezi…
