Kuchepuka Kwa Siri Kunastawisha Ndoa?
CORONA bado ipo na inaua, ni vizuri wapendanao na jamii nzima kwa ujumla ikazidi kuchukua tahadhari ambazo zinatolewa kwenye vyombo mbalimbali vya habari. Kubwa zaidi, ni vizuri kubaki nyumbani kama huna shughuli ya lazima inayokufanya…
