Afariki kwa Kula Nyama ya Kuku Mgonjwa
Binti mwenye umri wa 7 kutoka kijiji cha Igumo wadi ya Marimanti katika Kaunti ya Tharaka Nithi nchini Kenya ameaga dunia, huku watoto wengine saba na mtu mzima mmoja wakilazwa hospitalini baada ya kula kitoweo cha kuku aliyekuwa…
