Ifahamu Nguvu ya Tabasamu na Faida Zake kwa Maisha ya Mwanadamu
WANASAIKOLOJIA wa zamani na wa sasa wanakubali kwamba kuna zaidi ya aina 15 za tabasamu, zote zikitoa ujumbe tofauti. Mara nyingi hujulikana kama “the chosen vehicle for all ambiguities,” kutabasamu kunaweza kuonyesha woga, aibu,…
