JPM Katavi: Mafisadi Wameanza Kurudisha Fedha – Video
RAIS John Magufuli, leo Jumatano, Oktoba 9, 2019, ameanza ziara ya siku tatu mkoani Katavi ambapo amefungua barabara ya Kanazi - Kizi - Kibaoni yenye urefu wa Kilomita 76.6.
Magufuli yupo katika ziara ya siku tisa katika…
