Majaliwa: Hakuna Makinikia Yanayouzwa Bila Kulipiwa – Video
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema makinikia yote yanayosafirishwa yamefuata taratibu na hakuna makinikia yanayouzwa bila kulipiwa kwanza.
“Makontena yote yanayosafirishwa hivi sasa, tayari yameshauzwa na kulipiwa na fedha…
