The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

MATOLA

Pablo Awashtua Matola na Hitimana

UJIO wa Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco raia wa Hispania ambaye amepewa dili la miaka miwili umewashtua makocha waliokuwa kwenye timu hiyo kwa kuwa walikuwa hawafahamu lolote kuhusu kuwasili kwake Bongo. Habari kutoka kwa mtu wa…

Kocha Simba Atishiwa Bastola Sauz

UNAWEZA kusema siku ya balaa, haina mwenyewe! Ukiachana na Simba kufungwa mabao 4-0 yaliyoishangaza dhidi ya Kaizer Chiefs, kocha wake, Selemani Matola amekutana na dhahama ya kutishiwa bastola, tukio lililotokea nje kidogo ya Jiji la…

Matola: Simba Hatushuki Kileleni

KOCHA Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ameibuka na kutoa kauli ya kibabe kwa wapinzani wao kwamba watakachokifanya ni kutotoka katika nafasi ya kwanza waliyopo kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara hadi watwae ubingwa. Matola ameongeza…

Kocha Matola kutua KMC

KMC ambayo imepata nafasi ya dezo ya kushiriki Kombe la Shirikisho msimu ujao iko kwenye mazungumzo na Kocha wa Lipuli, Seleman Matola. Dili hilo limeanza baada ya KMC kushtukia kwamba Kocha wao wa sasa Etiene Ndayiragije…

Matola aibuka usajili Yanga

KOCHA msaidizi wa Lipuli FC ya Iringa, Selemani Matola amekiangalia kikosi cha Yanga na kutamka kuwa ni lazima wasajili washambuliaji, mabeki na kipa kama kweli wanataka kufanya vizuri kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara. Lakini…

Matola Aanika Alivyoibana Yanga

KOCHA Msaidizi wa Lipuli, Selemani Matola, amesema kuwa alitumia CD za Yanga kuwasoma mbinu zao pamoja na uzoefu alionao kwenye ligi kuwamaliza Uwanja wa Samora. Lipuli juzi ilifanikiwa kulipa kisasi cha bao 1-0 lililofungwa na Heritier…

Bodi ya Mo, Matola kimeeleweka Simba

BODI ya Udhamini ya Simba Sports Club Limited iliyo chini ya mfadhili wao bilionea, Mohammed Dewji ‘MO’ ipo kwenye hatua za mwisho za kumtangaza Selemani Matola kuwa mbadala wa Mrundi, Masoud Djuma. Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu bodi…