MSUKUMA – “Siogopi Chochote, Namsema Waziri Itakuwa Wewe” – VIDEO
Mbunge wa Geita, Joseph Msukuma, ameibua hoja nzito katika mkutano wa hadhara aliofanya katika kijiji cha Kasota na kutaka chama cha Mapinduzi kumuhoji ufisadi unaofanyika katika jimbo lake.
