Mesen: Mastaa ‘Wameniliza’ Sana!
PRODYUZA wa Ngoma ya Hainaga Ushemeji ya Man Fongo, Jerry Boniphace ‘Mesen Selekta’ amesema kuwa, mastaa kibao wa Bongo Fleva aliokuwa akiwatengenezea ngoma wamemliza sana kwa kumlipa mkwanja kiduchu na wengine bure kabisa na…
