Celebrities Miss World Atua Arusha – Video Global Publishers Oct 28, 2019 MREMBO namba moja wa Dunia mwaka 2018 Silvia Vanessa Ponce de León Sánchez kutoka nchini Mexico amewasili nchini Tanzania na Kupokelewa na Wenyeji wake katika Mkoa wa Arusha.