Queen Mugase Aibuka Miss Kinondoni 2019 (Picha+Video)
USIKU wakuamkia leo yamefanyika mashindano yakumsaka mrembo wa taji la Miss Kinondoni 2019 kwenye ukumbi wa The Life Mwenge jijini Dar es Salaam na Queen Mugese kuibuka mshindi wa Miss Kinondoni 2019 baada ya kuwazidi warembo wengine…
