Mkapa Ampongeza JK kwa Ujenzi wa Chuo Cha Udom
RAIS mstaafu katika serikali ya Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, amempongeza Rais wa Awamu iliyopita, Jakaya Kikwete, kwa kuthubutu na kuwezesha ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom).
Mkuu wa Chuo UDOM ambaye ni Rais Mstaafu Benjamin…
