Familia Yatupiwa Vyombo Nje na Kukosa Makazi – Video
TUKIO la kustaajabisha limetokea eneo la Mji Mpya Kipawa jijini Dar ambapo familia ya Bw. Abiud imekumbwa na kadhia ya kutolewa nje vyombo vyao na kukosa makazi kwa kile kilichoelezwa kuwa kutokana na mkopo wanaodaiwa na Benki.…
