Mkude: Tusipopanda ndege, nasepa Simba
Kiungo wa Simba, Jonas Mkude.
Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam
HEH yamekuwa hayo! Kwani kiungo wa Simba, Jonas Mkude, amesema kama timu yake isipotwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara ataondoka klabuni hapo ili akachezee timu nyingine msimu…
