×

Tag: mkuranga

Majaliwa: Uwekezaji Nchini Hautakwama, Serikali Itawaunga Mkono Wawekezaji

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan itaendelea kuwaunga mkono...

READ MORE

Rais Samia Aahidi Neema Mkuranga – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaiangalia upya hospitali ya wilaya ya Mkuranga pamoja na barabara inayounganisha Wilaya hiyo na...

READ MORE

WAZIRI ULEGA ATOA POLE KWA WALIOZAMA MWANZA

  NAIBU Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambaye ni Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega, ametoa salamu za pole...

READ MORE

Wanafamilia 6 Waliokufa Ajalini Mkuranga, Wazikwa! – Video

SIMANZI imetawala katika eneo la Ngunguti wilayani Mkuranga mkoani Pwani ambako watu 10 wa familia moja ni kati ya 14...

READ MORE

FAMILIA YA WATU 6 KUFARIKI AJALINI, NI ZAIDI YA MSIBA

DAR ES SALAAM: unaweza kusema huu ni zaidi ya msiba kufuatia ile habari ya watu sita wa familia moja wakazi...

READ MORE

Mauzauza Eneo la Ajali Iliyoua watu 26 Mkuranga

PWANI: Kufuatia watu 26 kufariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya basi dogo (Hiace) lililokuwa likitoka Mkuranga kuelekea Kimanzichana mkoani...

READ MORE

Polisi Yaua Wawili Kibiti

  Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa kuwaua watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni miongoni mwa wahalifu wanaoendesha mauaji katika Kanda Maalumu...

READ MORE

Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu mauaji ya MKIRU (Mkuranga, Kibiti, Rufiji)

Kabla ya kuingia kwa kina kwenye uchambuzi huu, ni muhimu kueleza bayana kwamba japo maana, mbinu na ufanisi wa uchambuzi...

READ MORE

VIDEO: Masauni, Sirro Watangaza Msako wa Watuhumiwa 16 Wauaji wa Kibiti, Rufiji

  Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Eng. Hamad Yussuf Masauni ametangaza kuwa, Jeshi la Polisi linawaska watuhumiwa 16 wa...

READ MORE

Mauaji ya Polisi Kibiti, DC Awatemea Cheche Wauaji

PWANI: Baada ya polisi trafiki wawili kuuawa hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, Gulamhusein Kifu (pichani) ametema...

READ MORE

Ripoti Mpya Mauaji Kibiti!

PWANI: Gazeti la UWAZI ambalo limekuwa likifuatilia matukio mbalimbali ya mauaji katika Wilaya za Kibiti, Mkuranga na Ikwiriri limeibuka na...

READ MORE

IKWIRIRI: Mwenyekiti wa Kijiji Atekwa, Mwingine Aokotwa Mtoni Amefariki kwa Risasi

Rufiji/Kibiti: Mwenyekiti wa Serikali ya Kijiji cha Kati, Ikwiriri, Athuman Mtoteka anadaiwa kutekwa na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake. Mwenyekiti...

READ MORE

Rais Magufuli, Wahurumie, Hawa Wote Wanaume Zao Wameuawa Kwa Kupigwa Risasi

STORI: WAANDISHI WETU| UWAZI| HABARI PWANI: Wanawake 22 ambao waume wao wameuawa na watu wasiojulikana katika Wilaya za Kibiti, Ikwiriri...

READ MORE

VIDEO: Hii Hapa Taarifa ya Spika Bungeni Kuhusu Mauwaji ya Polisi 8 Kibiti Mkuranga

LEO Aprili 27, 2017 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amesoma taarifa ya...

READ MORE

Ngoma Bado Mbichi Mkuranga, Kibiti Polisi Watanda Kila Kona

NA MWANDISHI WETU | UWAZI | HABARI PWANI: Ngoma ni mbichi mkoani Pwani hususan katika Wilaya za Mkuranga, Kibiti na...

READ MORE

Askari 17, Viongozi 18 Wameuawa Mkuranga, Kibiti

STORI: WAANDISHI WETU|GAZETI LA UWAZI| HABARI PWANI: Idadi na watu, raia na askari polisi waliouawa kwa kupigwa risasi katika Wilaya...

READ MORE

BREAKING NEWS: Majambazi Waua Polisi Nane Mkuranga

Habari zilizotufikia hivi punde, zimeeleza kuwa, askari polisi nane wameuawa na majambazi huko Mkuranga, Mkoani Pwani. Habari hizo zinasema kuwa, askari...

READ MORE

Wananchi Mkuranga Wamwangukia Magufuli Suala la Ardhi

BAADHI ya wananchi wa vijiji vya, Lugwadu, Magodani na Kazole, Kata ya Vikindu, Mkuranga Mkoa wa Pwani wameonyesha hisia zao...

READ MORE

Video: Mauaji mengine yatokea Mkuranga, wauaji wachoma moto maiti

Mauaji mengine yatokea Mkuranga, wauaji wachoma moto maiti Shinda Nyumba Awamu ya Pili Yatikisa Jiji la Dar es Salaam

READ MORE

Video: Sakata la Mauaji ya Viongozi Mkuranga, Simulizi Yake Inatoa Machozi

Video: Mauaji ya Viongozi Mkuranga, Simulizi Yake Inasikitisha

READ MORE