×

Tag: Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 15

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Tiaki,” nilimuita kwa sauti ya upole sana. “Naam.” “Ukiniambia ukweli mipango yetu itakwenda sawasawa kama unavyotaka wewe,...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 13

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Ghafla nilimwona ananikumbatia halafu akanielekeza kulala kitandani, nikaelekea hapo polepole huku mapigo ya moyo yakinienda kwa kasi...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 12

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Hapana shemeji yangu, unaonekana dhahiri una kitu kinakusonga, kuwa huru kuniambia maana tangu nilipoomba uniletee kikombe kikubwa...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 11

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Haa! Hutumii taulo shem?” “Sipendi kabisa mama Kisu, sijui kwa nini?” “Sasa wewe umesema huna mke, kanga...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 10

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nikiwa bado chumbani ghafla mlango ulisukumwa, akaingia mtu, nikashtuka na kumwangalia. SASA ENDELEA NAYO SASA… Nadhani nilisikia...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 8

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Kwema kabisa,” nilimjibu nikikaa huku nikitamani kumwambia ukweli kuhusu hisia zangu kwake. Nilimpiga jicho moja la hasira,...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 7

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Kilichonifanya nimwangalie sana ni kwamba, huo wimbo aliosema aliwekewa na mume wangu, Bubu Hutaka Kusema mume wangu...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 6

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: “Na kama unasema hivyo kwa sababu ya Daniel kuja nyumbani usiku jana na yule aliyesema amekurithi. Yule...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 5

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilianza kusali sala zote ninazozijua mimi huku nikiendelea kuangalia nje kwa ujasiri wa hali ya juu. “Hujambo...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili – 4

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Mh! Wote tuliangaliana, lakini mimi moyoni nilikubaliana na madai ya Daniel kwa sababu ya ile hali iliyojitokeza...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili -3

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nikamsogelea, nikawa kama namnyooshea mikono ili kumpa kile kijomela, alipotaka kukipokea, nilishangaa sana kuona sura yake kama...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili -2

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA: Nilioga, mwishowe nikatoka zangu lakini miguu ilikuwa ikitetemeka. Nilipofika chumbani nilikutana na jipya tena. Kitandani changu nilikitandika...

READ MORE

Mume Wangu Anaishi Mara ya Pili

Tulipotoka kaburini kuzika, ndugu wa marehemu mume wangu waliniambia itabidi nikae pale nyumbani hadi siku arobaini ambapo kwa mila na...

READ MORE