Shoga: Masaji Nayo ni Chakula cha Usiku
HEEE heeiyaa shoga yangu wa ukweee! Ni Jumanne tulivu nimekutana na wewe mpendwa wa kona yetu hii ya mashamsham, kona ya mahaba, kona ya sebuleni kama siyo chumbani, u hali gani mwenzangu? Shoga, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu anayetupenda…
