Diamond na Tanasha Waonyesha Mahaba Stejini -( Picha +Video)
STAA wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz' pamoja na mama mtoto wake, Tanasha Donna Oketch usiku wa kuamkia leo Januari 24, 2021 walipanda kwenye steji ya 'Pre Party' ya Wasafi Tumewasha iliyofanyika kwenye ukumbi wa Elements…
