Njemba anaswa madai ya wizi wa nguo majumbani!
Mangi akiwa chini ya ulinzi.
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro.
AMENASWA! Hiyo ndiyo kauli unayoweza kuitumia kuelezea tukio la njemba mmoja aliyefahamika kwa jina la Mangi, mkazi wa Morogoro, anayedaiwa kuwa na kamchezo ka’ wizi,…
