The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Nyosso

Juma Nyosso Kortini

MLINZI wa timu ya Kagera Sugar, Juma Said Nyosso anatarajiwa kupandishwa Mahakamani siku yeyote kuanzia leo (Jumanne), kutokana na kutenda kosa la jinai wakati akitoka nje ya uwanja. Kamanda wa Polisi…

Juma Nyosso Akamatwa na Polisi

Jeshi la Polisi Mkoani Kagera limethibitisha kumshikilia mlinzi wa Kagera Sugar Juma Said Nyosso kwa kosa la kumpiga shabiki anayeaminika kuwa ni wa Simba baada ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba uliopigwa mjini Bukoba. Tukio…