Mawaziri Waweka Mambo Sawa Maagizo ya Rais Samia Kuhusu Online TV
WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wamefanya kikao cha pamoja na Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu pamoja na wataalamu kujadili hoja mbalimbali…
