Mawaziri Wampanda Kichwani Dkt Shein, Aahidi Kula Nao Sahani Moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, ametoa onyo kwa mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, ambao hawakuhuduria katika Ziara yake ya kukagua maendeleo ya miradi katika Mkoa wa Mjini…
