Adele Kununua Mjengo wa Rambo kwa Tsh Bil 133.7
IMERIPOTIWA kuwa, msanii maarufu duniani wa Pop, Adele Laurie Blue Adkins 'Adele' ametoa mkwanja kiasi cha takribani Dola za Marekani milioni 58 ambazo ni sawa na zaidi ya Tsh Bilioni 133.7 kwa ajili ya kununua jumba la kifahari la…
