MREMBO AANIKA SIRI ZAKE NA DIAMOND!
SIKU chache baada ya mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platinumz’ kutangaza kufunga ndoa Juni, mwaka huu, mrembo Rehema Fabian ameibuka na kuanika siri zake na staa huyo, Ijumaa Wikienda linakudokeza.
LAIVU…
