Masaki Dar: Adam Malima Atibuana na Polisi, Wafyatua Risasi Hewani (VIDEO)
TAHARUKI imeibuka mchana huu maeneo ya Masaki karibu na Double Tree Hotel baada ya askari polisi mmoja kufyatua risasi hewani kutokana na kile kilichoonekana kuwepo kwa mzozo kati ya polisi na mbunge wa zamani wa Mkuranga, Pwani, Adam…
