Roboti Inayoweza Kushiriki Ngono Kutengezwa
HII teknolojia sasa imekuwa too much! Kila kukicha wenzetu wazungu wamekuwa wakibuni vitu vipya tofauti kabisa na fikira za kawaida za kibinadamu na kuendelea kuushangaza ulimwengu na viumbe vyake, hatujui tunaelekea wapi na hizi…
