×

Tag: simulizi za majonzi

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 36

ILIPOISHIA: Ghafla akiwa anakuja mbio, lile gari lilitokeza tena na kuja kwa kasi pale lilipokuwa limepaki awali, nikashtuka kugundua kuwa...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 35

ILIPOISHIA: Harakaharaka tukatoka na kuingia ndani ya teksi, safari ya kurudi hospitalini ikaanza huku muda wote Shamila akiwa na furaha...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 42

ILIPOISHIA: Kwa akili yangu nilijua kwamba tayari kazi imekwisha, kumbe kulikuwa na kazi nyingine, nikaanza kutetemeka tena huku nikigeuka huku...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 41

ILIPOISHIA: Nikiwa bado nashangaa, mwili ukiwa unatetemeka kwa hofu, nilishtukia wale watu wakikimbilia pale kwenye moto na kujipanga foleni, yule...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 34

ILIPOISHIA: Safari hii maneno hayakuwa mengi, tuliendelea kupasha miili yetu, tayari kwa ngwe ya pili ya pambano letu la kirafiki....

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 33

ILIPOISHIA: “Nakuapia kama ningekutana na wewe kabla ya Raya, huenda wewe ndiyo ungekuwa mpenzi wangu na si ajabu ningeshakuwa nimekuoa,...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 32

ILIPOISHIA: Nilipomtazama usoni, macho yake yalikuwa mekundu na yamevimba kuonesha kwamba alikuwa amelia kwa muda mrefu, hata ule uchangamfu wake...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 40

ILIPOISHIA: Nilipokisogeza kibuyu hicho karibu na pua, nilikumbana na harufu kali kwelikweli, ikabidi nizibe pua, nikanywa huku nikiwa nimefumba macho....

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 31

ILIPOISHIA: Alionesha kama kuna jambo muhimu anataka kuniambia kuhusu Shenaiza na baba yake ingawa sikujua ni jambo gani. “Ha..pa…na! Hapana!”...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 39

ILIPOISHIA: Nilifungua zipu kisha nikaanza kufanya kama vile nilivyoelekezwa. Nikiwa naendelea na kitendo kile cha aibu na cha aina yake,...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 38

ILIPOISHIA: “Wewe sasa hivi una mambo ya kikubwa, hutakiwi kuwa unachanganyikana na wenzako, inabidi uanze kukaa na sisi baba zako,...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 30

ILIPOISHIA: “Ukikamilisha kazi nitakupa zawadi ya ushindi,” alisema Shenaiza huku akinifinyia kijicho kimoja, nilishaelewa alimaanisha nini. Nikasimama na kumshukuru, nikambusu...

READ MORE

Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 37

ILIPOISHIA: Nilitazama huku na kule, nilipoona hakuna mtu anayetutazama, nilimsogelea, akanikumbatia kwa mahaba kisha akanivutia ndani. Hatukukumbuka hata kufunga mlango,...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 29

ILIPOISHIA: “Kuna kazi nimepewa ya kuhakikisha namzuia baba yake Shenaiza hicho anachokifanya, na ni lazima nitimize.” “Kazi? Nani aliyekupa hiyo...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 28

ILIPOISHIA: Niliendelea kumkumbatia msichana huyo huku marafiki na jamaa zangu wengine wakiwa pembeni wakitutazama, tukiwa kwenye hali hiyo, nilisikia mlango...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 36

ILIPOISHIA: “Naam baba,” niliitikia huku nikijaribu kumtoa Rahma maana alikuwa amenishika kimahaba, baba akaja mbiombio na kunishika mkono, akamwambia Rahma...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 27

ILIPOISHIA: Nilipokuja kushtuka, nilijikuta nikiwa nimelala kitandani, mapigo yangu ya moyo yakinienda mbio kuliko kawaida, nikiwa nimeunganishwa mashine ya kunisaidia...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 35

ILIPOISHIA: NIKIWA bado hata sijui nini cha kufanya, nilishtukia nikifungwa mikono na miguu, nikajaribu kukurupuka lakini sikuweza kufanya chochote, ikabidi...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 26

ILIPOISHIA: “Jamal! Jamal! Jamal!” nilishtuka baada ya kuisikia tena ile sauti nzito ya kutetemeka, iliyoniita kwa mara ya kwanza kabisa,...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 34

ILIPOISHIA: Alipofikisha tatu, nilifumba macho, nikashtukia ghafla tumehama pale tulipokuwa na kwenda upande wa pili, kule barabarani ambako watu wengi...

READ MORE

The Graves of the Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia) – 33

ILIPOISHIA: Muda huo kwa makadirio ilikuwa ni kama saa nane za usiku maana kuna sehemu nilipita nikasikia redio kwa mbali...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 25

ILIPOISHIA: Harakaharaka, huku akilia, aliwaita walinzi ambao nao walimuita daktari wa familia hiyo, muda mfupi baadaye wote wakawa wamejaa ndani...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 32

ILIPOISHIA: Wote waliacha kila walichokuwa wanakifanya, wakawa wananitazama kwa macho makali. Sikuelewa nini hasa kimetokea, wakati nikiendelea kuwatazama vizuri kwa...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 24

ILIPOISHIA: Treni ilizidi kushika kasi, ikafika kipindi nikawa nahisi kwamba haikanyagi kwenye reli bali inapaa angani kwa jinsi ilivyokuwa ikienda...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 23

ILIPOISHIA: “Mzimu? Mzimu gani wakati sasa hivi ni mchana?” “Nilikuwa nimelala nikatokewa na mzimu wa marehemu Jamal!” “Mh! Au unaanza...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 31

ILIPOISHIA: Nikiwa bado naendelea kumtazama kwa jicho baya, mara nilishtuka kusikia vishindo viwili vikubwa juu ya bati, kama vile nilivyokuwa...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na hatia)- 30

ILIPOISHIA: Kwa bahati nzuri, nilipofika pale mapokezi, yule dada hakuwepo, nikatoka kimyakimya mpaka nje, nikaelekea lilipo geti kubwa huku nikijitahidi...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 22

ILIPOISHIA: “Mzimu? Mzimu gani wakati sasa hivi ni mchana?” “Nilikuwa nimelala nikatokewa na mzimu wa marehemu Jamal!” “Mh! Au unaanza...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 21

ILIPOISHIA: Nikiwa naendelea kulia, nilipaliwa na mate, hali iliyofanya nikohoe mfululizo, ajabu zaidi, na ule mwili wangu pale kitandani ukakohoa,...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)-29

ILIPOISHIA: Nikiwa bado naendelea kuugulia, nilisikia ndugu yangu mmoja akiniita kutokea dirishani, nikafunua pazia na kuchungulia nje. Sikuyaamini macho yangu...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 19

ILIPOISHIA: Kuna wakati hofu ilinizidi na kutaka nigeuze nilikotoka lakini kitu ndani ya moyo wangu kikaniambia nizidi kusonga mbele. Kadiri...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 27

ILIPOISHIA: Sikutaka kumuamsha Rahma, nilimtoa kifuani kwangu taratibu kisha nikashusha miguu chini, nikawa nimekaa huku nikitazama huku na kule. Sikuweza...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 18

ILIPOISHIA: Nakumbuka neno la mwisho nililofanikiwa kulisema, ingawa ilikuwa ni kwa taabu kubwa kutokana na midomo yangu kuwa mizito, ilikuwa...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na hatia)- 26

ILIPOISHIA: Nilipomtazama, macho yangu na yake yaligongana, akanikazia macho, ikabidi nikwepeshe macho yangu, safari ya kurudi nyumbani ikaanza huku mara...

READ MORE

The Graves of The Innocents (Makaburi ya Wasio na hatia)- 25

ILIPOISHIA: Nilianza kuwatazama mmoja baada ya mwingine, kuanzia mama ambaye uso wake ulikuwa na huzuni kubwa, baba ambaye alionesha kuwa...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 17

ILIPOISHIA: Safari iliendelea mpaka tulipofika Magomeni ambako kulikuwa na foleni kubwa sana asubuhi hiyo, jambo ambalo halikuwa la kawaida. “Nimekwambia...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 16

ILIPOISHIA: Simulizi za Majonzi: Nilimtazama Raya aliyekuwa bado amelala juu ya kifua changu, nikajiuliza mara mbilimbili kama nipokee au la....

READ MORE

The Graves of The Innocent (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 24

ILIPOISHIA: Ghafla tulishtushwa na kishindo kikubwa ambacho hata sikuelewa kimetokea wapi. Watu walianza kupiga kelele kwa nguvu huku wale waliokuwa...

READ MORE

The Graves of The Innocent (Makaburi ya Wasio na Hatia)- 23

ILIPOISHIA: “Tupeleke Coco Beach, kule wanakouza mihogo,” alisema Rahma, safari ikaanza lakini mita chache mbele, nilishtuka baada ya kusikia mtu...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 15

ILIPOISHIA: “Aisee! Mbona hii inaonekana kuwa ngoma nzito?” “Ni ngoma nzito kwelikweli, halafu kuna huyu kijana ameingizwa kwenye mtego bila...

READ MORE