Steve Nyerere Afungukia Nyumba Ndogo
DAR ES SALAAM: Komediani wa Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefungukia tetesi za kuwa na nyumba ndogo akidai kuwa hayo ni maneno ya watu kwani ana mkewe mmoja tu.
Akizungumza na Wikienda , Steve alisema kuwa, watu…
