Homa ya Matumbo kwa Mtoto
UGONJWA wa homa ya matumbo kwa watoto, ni wa kawaida kwa watoto kutokana na aina ya michezo na uchafu wanaokula, hasa watoto wadogo. Hata hivyo, mtoto anapoharisha na kutapika, mzazi hatakiwi kupuuza kwa sababu yawezekana ni dalili ya…
