Amunike Amchana Ajibu kwa Nini Hamuiti Taifa Stars
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa Stars, Emmanuel Amunike ameweka wazi kwa kusema kuwa hawezi kumuita mchezaji yeyote ndani ya timu ambaye hajakamilika akiwemo Ibrahim Ajibu ila akiona anafaa anaweza kumuita.
Ajibu amekuwa akifanya…
