Tigo yapigwa faini kwa uzembe
Meneja Mkuu wa Tigo, Deigo Gutierrez
Na mwandishi Wetu
KAMPUNI ya MIC Tanzania Limited (Tigo) chini ya mkurugenzi wake, Diego Gutierrez imepigwa faini ya Sh. Milioni 25 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kosa la kushindwa…
