Waziri Mkuu: Rcs, Dcs Nendeni Mkakague Masoko, Maduka Kupata Bei Halisi za Bidhaa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya wafanye ziara kwenye masoko na maduka ili kupata hali halisi ya bei za bidhaa na wachukue hatua kudhibiti upandaji holela wa bei hizo.
Waziri Mkuu…
