ZAMARADI: MUME WANGU HANA JEURI YA KUNIACHA
MTANGAZAJI maarufu wa Televisheni ya Clouds, Zamaradi Mketema amesema kuwa watu wengi wamekuwa wakiongea maneno ya kufanya ndoa yake iingie doa ili watengane. Akizungumza na Za Motomoto, Zamaradi alisema kuwa kamwe mumewe huyo ambaye…
