ACHANA NA ILE RAV 4, MOBETTO KUSHUSHIWA PRADO MPYA!
Mwanamitindo ‘hot’ ambaye kwa sasa amegeuka mswaki kutokana na kuongelewa kila kona, Hamisa Mobetto, amewaacha watu njia panda baada ya kupost picha ya gari aina ya Prado yenye thamani ya zaidi ya milioni 50, mashabiki wanadai baada ya…
