×

Ummy Mwalimu Aagiza Wanafunzi Wasisome Wakati Wa Likizo

Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amewaagiza wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha Wanafunzi wanapumzika wakati wa likizo

Amesema ni muhimu kuwapatia Watoto muda wa kujifunza masuala mengine ya Kijamii, kufanya kazi ndogondogo za Nyumbani na biashara za kusaidia Wazazi

Amesema hayo katika mahafali ya 29 ya Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM) Bagamoyo. Ambapo pia amelaumu tabia ya kufanya Elimu kuwa Biashara kwa kuwatoza Fedha Wazazi kipindi cha likizo

Leave a Comment