RAIS John Magufuli amemteua Stephen Wassira kuwa Mweyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, nafasi iliyokuwa inashikiliwa na Prof. Mark Mwandosya.