The House of Favourite Newspapers
gunners X

VIDEO: Kocha ZAHERA Amwaga ‘MACHOZI’ Hadharani Akiizungumzia Yanga


KOCHA Mkuu wa Timu ya Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa wanayanga wanapaswa kuchangia timu yao kutokana na mara ya kwanza alivyoambiwa anakuja yanga alijua kama ni timu kubwa kumbe ilikua na matatizo kibao.

Comments are closed.