The House of Favourite Newspapers

VIDEO: ROSTAM AZIZ Afunguka Kumiliki YANGA “Kutoa Pesa”

YANGA sasa ni mwendo mdundo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mfanyabiashara maarufu hapa nchini, Rostam Aziz kuweka wazi mipango yake juu ya klabu hiyo.

 

Rostam ambaye hivi karibuni aliichangia Yanga Sh milioni 200 katika harambee iliyojulikana kwa jina la Kubwa Kuliko, amesema kuwa amejipanga kuhakikisha anaisaidia Yanga kimawazo na kifedha ili iweze kuondokana na hali ngumu ya kiuchumi iliyonayo sasa.

 

Hata hivyo, akizungumzia jinsi atakavyokuwa akiisaidia Yanga, alisema kuwa ataisaidia kama mpenzi na shabiki wa timu hiyo, lakini siyo kama mfadhili au mmiliki.

 

Alisema kuwa mfadhili wa ndani ya klabu hiyo ya wanachama siyo sawa, na yeye anapenda aendelee kuwa shabiki na mwanachama wa kawaida huku wanachama wakibaki na haki ya kumiliki klabu yao.

FULL STORI NUNUA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA LA LEO JUNI 21, 2019

Comments are closed.