The House of Favourite Newspapers

Wajanja Wote Wanabeti na Meridianbet

0

Jumapili ya kuchukua mpunga ndani ya meridianbet ni hii ya leo, basi mimi nakwambia leo hii ndiyo siku nzuri kwa wewe kujinyakulia mkwanja kwa kubeti mechi zako za uhakika.

Ligi ya Italia SERIE A, kama kawaida kitafahamika ambapo Napoli atakuwa mwenyeji wa Hellas Verona katika dimba la Diego Maradona huku bingwa huyo mtetezi akiwa nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi na mgeni wake akiwa nafasi ya 17. Weka bashiri yako na ushinde sasa.

Saa 2:00 Atalanta atazichapa dhidi ya Lazio Rome huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni mbili pekee. Mwenye yupo nafasi ya 4 na mgeni wake nafasi ya 7. Mechi hii imepewa ODDS 2.06 kwa 3.72. Jisajili na ubeti sasa.

Meridianbet wanakwambia hivi, sio mpira wa miguu tuu, bali hata michezo ya Kasino ya Mtandaoni pia ipo hapa meridianbet kama vile Aviator, Keno, Roulette na mingine kibao. Ingia na ucheze sasa.

Mechi ya kukata na shoka ni hii ya Inter Milano dhidi ya Juventus ya Allegri. Ikumbukwe kuwa Inzaghi na vijana wake wanalitaka kombe huku wakiwa bado wapo juu kwenye msimao na leo wamepewa ODDS 1.81 kushinda kwa 4.60. Mara ya mwisho walitoa sare leo nani atashinda katika dimba la Giuseppe Meazza?.

Pia ligi ya Ufaransa LIGUE 1 nayo itaendelea kama kawaida ambapo, mapema tuu AS Monaco atakuwa mwenyeji wa Le Havre  huku timu zote zikiwa zimeambulia sare mechi zao zilizopita. Leo hii mwenyeji anapendelea kushinda kwa ODDS 1.56 kwa 5.29.Beti sasa.

Nao FC Metz watakuwa wenyeji wa FC Lorient ambao wapo nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi na mwenyeji akiwa nafasi ya 15. Mechi hii ina ODDS 2.25 kwa 3.47. Tengeneza jamvi lako sasa.

Saa 4:45, Olympiqque Lyon atamenyana dhidi ya Olympique Marseille kusaka pointi tatu muhimu leo hii huku mgeni akipendelewa kushinda leo hii kwa ODDS 2.45 kwa 2.84. Mara ya mwihso kuonana Marseille alishinda. Je leo hii mwenyeji kulipa kisasa?.

 

Pale EPL katika dimba la Vitallity AFC Bournemouth watakiwasha dhidi ya Nottingham Forest . Mechi ya kwanza kukutana, mwenyeji aliondoka na pointi 3, huku meridinabet wakimpa mwenyeji nafasi kubw aya kushinda kwa ODDS 1.67 kwa 4.60. Wewe unamdhamini nani leo? Suka mkeka hapa.

Mechi nyingine ni hii ya Chelsea dhidi ya Wolves ambao wapo nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi. The Blues wametoka kupokea dozi nzito ugenini huku leo wanatarajia kupata ushindi. Mechi hii imepewa ODDS 1.57 kwa 5.29. Je safari hii kisasi kitalipwa. Ingia meridianbet na ubeti sasa.

Huku Manchester United chini ya Ten Hag baada ya kushinda mchezo uliopita, leo hii atakuwa nyumbani kusaka pointi tatu dhidi ya Westham United ambaye mechi ya kwanza alishinda, huku meridianbet wakimpa mwenyeji nafasi ya kukusanya pointi zote kwa ODDS 1.57 kwa 5.29. Jisaji hapa.

Saa 1:30 Arsenal watakuwa nyumbani pale Emirates kukipiga dhidi ya vinara wa ligi Liverpool ya Jurgen Klopp. Mechi ya mzunguko wa kwanza walipoonana, walitoshana nguvu, huku Arteta na vijana wake leo hii kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.25 kwa 2.94. Beti kijanja hapa.

Pia LALIGA itatimua vumbi leo hii ambapo Villarreal atamkaribisha nyumbani kwake Cadiz ambaye aliambulia sare mchezo wake uliopita, huku akiwa nafasi ya 18 hadi sasa. Nyambizi wa Njano ametoka kutoa dozi nzito mchezo wake uliopita, na leo hii anahitaji kushinda. Je atapata ushindi na leo? Suka mkeka wako hapa.

Real Betis ambao wapo nafasi ya 8 watakuwa uso kwa uso dhidi ya Getafe ambao wapo nafasi ya 10. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Betis kwa ODDS 1.96 kwa 3.92. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Ingia meridianbet sasa.

Mechi kali Hispania itakuwa saa 5:00 usiku kati ya vinara wa ligi Real Madrid dhidi ya Atletico Madrid ambao wapo nafasi ya 4 kwenye msimamo. Mara ya mwisho kukutana kwenye ligi, Real alipasuka. Je leo hii atalipa kisasi pale Bernabeu?

Kwingineko ni kule BUNDESLIGA ambapo tutashuhudia mechi mbili, ya kwanza ni hii ya VFL Wolfsburg dhidi ya TSG Hoffenheim huku timu zote zikiwa zimetoka sare mchezo uliopita. Mechi hii imepewa ODDS 2.11 kwa 3.19. Beti sasa.

Mechi nyingine ni hii ya Rb Leipzig ambaye alichapika mechi iliyopita na sasa atakuwa katika Dimba la Redbull Arena kumenyana dhidi ya Union Berlin ambao walishinda mechi iliyopita kwa ushindi mwembamba. RB ana ODDS 1.37 kwa 7.44. Beti kijanja sasa.

 

Leave A Reply