The House of Favourite Newspapers

Wasafi Festival Yaacha Historia Muleba Kagera – Video

Queen Darleen akiwasiliana na mashabiki.

USIKU wa kuamkia leo ilifanyika shoo ya kwanza ya Wasafi Festival 2019 iliyofanyika mkoani Kagera Wilaya ya Muleba. Wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond Platnumz,  Rayvanny, Queen Darleen, Lavalava, Ruby, Dulla Makabila,  na Mbosso wameandika historia ya kipekee.

Mwanzo-mwisho mashabiki walionekana wakishangilia wakati wasanii hao wakitoa shoo.

RAYVANNY Alivyokinukisha MULEBA Kwenye WASAFI FESTIVAL

NOMA! Kwa SHOO Hii MBOSSO Hana MPINZANI Bongo.

Comments are closed.