The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Amuwakilisha Rais Samia Katika Swala ya Eid El Adh’haa Kitaifa Dar – Video

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika Swala ya Eid El Adh’haa ambayo imefanyika kitaifa Jijini Dar es Salaam katika Msikiti Mkuu wa Mfalme Mohamed wa Sita, uliopo Kinondoni akimuwakilisha Rais  Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Leo 29, June 2023, amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Swala ya Eid El Adh’haa ambayo imefanyika kitaifa Jijini Dar es Salaam katika Msikiti Mkuu wa Mfalme Mohamed wa Sita, ulioko Kinondoni

 

Leave A Reply