The House of Favourite Newspapers
gunners X

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Akutana na Kassim Majaliwa – Picha

0

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amekutana na Waziri Mkuu Mstaafu Kassim Majaliwa nyumbani kwake Nandagala, Ruangwa mkoani Lindi.

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amekutana naye wakati akiwa katika ziara ya siku tatu ya kikazi mkoani Lindi.

Leave A Reply