The House of Favourite Newspapers

Wimbo Mpya: Diamond Platnumz X Lava Lava X Mbosso – Jibebe

WAKALI wa muziki kutoka Lebo ya WCB, Diamond Platnumz, Lava Lava na Mbosso wameachia ngoma ya pamoja inayoitwa ‘Jibebe’ na umetengenezwa na Producer Lizer.

Kutazama video hiyo, Ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

Comments are closed.