The House of Favourite Newspapers

LIVE: Mpambano Ngumi za Global TV – Ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati Leo

0

Vita ya Ngumi za Kimataifa itaoneshwa Mubashara na Global TVOnline leo katika Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.

 

Vumbi la aina yake litatimka Jumapili ya leo wakati mabondia watatu wa kimataifa watakapokuwa wakizichapa kugombania Mkanda wa Ubingwa wa Global TV, Afrika Mashariki na Kati.

#DarLive is Loading….for Sunday International Boxing Day, July 23, 2017.

A post shared by Global Publishers (@globalpublishers) on


Mapambano hayo ambayo yatarushwa mubashara na Televisheni ya Mtandaoni ya Global TV Online BURE, yatakuwa kama ifuatavyo:

CHICHI MAWE VS ISRAEL KAMWAMBA

NASIBU RAMADHAN VS YOHANA

IDD PIALALI (TANZANIA) VS REGIN CHAMPION (MALAWI)

WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/

FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis…

TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari

INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers

Leave A Reply